throttle

vt songa roho, kaba, kwida. 2 (machine) ~ (back/down) dhibiti mmiminiko wa mvuke/mvuke hewa wa petroli, n.k. katika injini. n ~(valve) kilango/vali (inayodhibiti mmiminiko wa mvuke wa petroli, n.k. katika injini).