thrift

n uwekevu; iktisadi, uangalifu katika kutumia fedha/mali. thriftiness n iktisadi, uwekevu. thriftless adj -tapanyaji mali, fujaji (wa mali), badhirifu. thrifty adj 1 -ekevu, -a iktisadi, -angalifu (kwa mambo ya mali). 2 -a fanaka, -enye mafanikio.