threshold

n 1 kizingiti (cha mlango) cross the ~ ingia nyumbani. 2 (fig) lango, mwanzo; kitovu a pain ~ kitovu cha maumivu. 3 kilele, kiwango cha juu.