three
n tatu adj -a tatu ~ times ~ tatu mara tatu. ~ cornered adj -a pembe tatu ~course meal mlo wa hatua tatu. three-decker n sandwichi ya vipande vitatu vya mkate; chombo chenye sitaha tatu. ~ dimensional adj (abbr 3-D) -a pande tatu.three-figure adj -enye tarakimu tatu (yaani namba kati ya 100 na 999). threefold adj -a mara tatu adv kwa mara tatu. ~ lane adj (of a roadway) -enye njia tatu. three-legged adj -a miguu mitatu; mbio za miguu mitatu ~legged stool kigoda. ~ pence n peni tatu. ~ penny adj -a peni tatu. ~-per cent n asilimia tatu. three-piece adj -a vipande vitatu a ~ piece suit suti na kizibau; (of a woman) sketi/suruali, blauzi na koti. three-ply adj -enye tabaka/nyuzi, n.k. tatu. ~ quarters adj robo tatu. threescore n,adj sitini, korija tatu. ~-seater adj -enye (kukaliwa na) watu watatu. threesome n kundi la/mchezo wa watu watatu. three-storied adj -a ghorofa tatu. ~ wheel adj -a magurudumu matatu.