thread

n 1 uzi. hang by a ~ (fig) -wa katika hatari kubwa; wa mahututi. 2 kitu chembamba kama uzi. 3 mlolongo (unaounganisha sehemu za hadithi). 4 hesi. vt 1 tunga uzi (katika tundu la sindano); tungia. 2 (pass through) penya. ~ one's way penya (kati ya kundi la watu). 3 (of hair) -wa na milia. threadbare adj 1 kuukuu, bovu. 2 (fig) (uninteresting) baridi, chapwa, -a kuchusha, sio na thamani. threadbareness n 1 uchakavu. 2 ubaridi. ~like adj -a kama uzi; -a nyuzi nyuzi; embamba na refu. ~worm n mchangouzi.