2n 1 wazo, fikira on second ~ baada ya kufikiri tena. ~-readern mtu anayejifanya kujua mawazo ya wengine. ~ transferencen uhawilishaji fikira. 2 ~ (for)(caution) hadhari, uangalifu. take ~ for angalia, zingatia. 3 kufikiri, kuwaza; mawazo as quick as ~ upesi sana. 4 a ~ kidogo. thoughtfuladj 1 -a kufikiri, -a mawazo. 2 (careful) -a hadhari, angalifu that was ~ful of you nashukuru kwa msaada wako/kwa kunifikiria. ~-fulnessn 1 uangalifu. thoughtlessadj 1-zembe, siyojali. 2 choyo, siyo fikiria wengine, -a haraka, -pumbavu it was very ~less of you hukutumia busara hata kidogo. thoughtlesslyadv. thoughtlessnessn uzembe, upurukushani, kutoangalia. ~less of others -kutokujali/kutofikiria wengine.