third
n theluthi, fungu la sehemu ya tatu adj -a tatu/upande wa tatu ~class adj -a daraja la tatu; hafifu. ~ party n mtu wa tatu. ~ degree n usaili wenye mateso; kusaili sana. ~rate n,adj - ovyo, duni. ~rater n mtu duni. the T~ World n nchi zinazoendelea, ulimwengu wa tatu. thirdly adv tatu.