adj 1 -nene, -enye maki kubwa. ~ lippedadj -enye midomo minene. ~ skinnedadj (fig) -siyejali wengine; sugu. 2 (crowded) -ingi, -a kusongamana. thick-setadj -fupi; -nene; a miraba minne; (of hedge) -liofungamana. 3 ~withadj -enye -ingi, -enye kujaa. 4 (of voice) -enye mikwaruzo. 5 (of liquids) -zito. 6 (colloq) pumbavu, bozi. ~headed; ~skulled; ~wittedadj mpumbavu. 7 (colloq) sahibu, rafiki. as ~ as thieves marafiki sana. 8 (various colloq uses)a bit ~; rather ~ -enye kuzidi; enye kuvuka mpaka. give somebody a ~ear zaba kibao (mpaka sikio livimbe). lay it on ~(sl) tapakaza sifa/heshima, sifia/shukuru mno, visha kilemba cha ukoka. n 1 sehemu iliyojaa/ songamana. through ~ and thin kwa heri na kwa shari, kwa vyovyote vile, katika hali yoyote. in the ~of it katikati. 2 sehemu nene zito adv kwa wingi. thicklyadv kwa wingi; katika vipande vikubwa. vt -wa zito/nene zaidi gandamana the plot ~ens mambo yanaiva. thickeningn dutu la kufanya kioevu kuwa kizito. thicknessn 1 uzito, unene. 2 tabaka. thickishadj -nene kidogo.