therm
n kipimo cha matumizi ya gesi. thermal adj -a moto; -a joto ~al belt ukanda wa joto ~al spring chemchemi ya moto. ~al capacity n (phys) ujazifu -joto: kiasi cha joto cha kupandisha halijoto digrii moja. thermionic adj -enye kushughulikia utoaji wa elektroni katika hali ya joto ya juu. ~ic valve n vali ya electroni. thermo adj (in compounds) -a joto. thermodynamic adj -a mwendojoto. thermodynamics n mwendojoto: sayansi ya uhusiano wa joto na kazi za mitambo. ~o electric adj -a umemejoto. ~o nuclear adj -a nukliajoto. ~o-plastic adj,n (-a) kugeuka sandarusi/ plastiki kwa joto. ~o-setting adj -enye (kupata) ugumu wa kudumu baada ya kuandaliwa kwa joto. thermostat n thermostati, kirekebisha joto. ~ostastic adj. ~otheraphy n tibajoto. thermometer n kipimajoto.