therapy

n matibabu, tiba. radiotherapy n matibabu kwa eksirei/mionzi. therapeuti(al) adj -a kutibu/kuponya magonjwa, maradhi. therapeutics n maarifa ya kutibu/kuponya magonjwa, utabibu. therapist n mtaalam wa matibabu.