then

adv 1 (time) wakati ule/huo; zamani zile the ~ Regional Commissioner Mkuu wa Mkoa wa wakati huo/ule, toka wakati ule. 2 (next, after) baadaye, halafu, kisha. 4 till ~ hadi hapo. 3 (US at the end of a sentence) basi, kwa hiyo. 5 (furthermore) aidha, tena, tena basi. 6 Now ~ sasa basi. thence adv (formal) toka huko; kwa sababu hiyo. thenceforth; ~ceforward adv tokea hapo/pale/wakati huo/wakati ule.