theme

n 1 (of writing, etc.) dhamira, wazo. 2 (US) (mada ya) insha (ya wanafunzi); sauti mrejeo: sauti inayorudiwarudiwa. ~ song n wimbo unaorudia mara kwa mara katika mchezo/senema. thematic adj -a kiini; -enye kisa.