theism

n imani kwamba Mungu yupo na ni muumba na mtawala wa dunia. theist n muumini wa imani hiyo. theistic/theistical adj.