n 1 jumba/uwanja wa maonyesho/tamthilia. ~goern shabiki wa kuangalia tamthilia, mpenzi wa tamthilia. 2 (scene of important events) eneo (la tukio maalum). 3 thieta/ukumbi wa mhadhara, n.k. operating ~n chumba cha kupasulia. 4 (sanaa ya) maonyesho, tamthilia be good ~ -wa onyesho zuri. theatricaladj 1 -a maonyesho/tamthilia. 2 -a kujifanya; (usu amateur) maonyesho. theatricallyadv.