text

n 1 maandiko, matini. 2 (verse) mlango/kifungu/aya (ya kuhubiria au kujadilia). 3 (subject) maneno halisi (ya mwandishi). 4 ~(book) n kitabu cha kiada. textual adj -a maandiko/ maandishi ~ual errors makosa ya maandishi.