tether

vt funga (mnyama) kwa kambakatika kigingi. n kamba ya kufungia mnyama katika kigingi. I am at the end of my ~ (fig) nimeishiwa nguvu (mali, uwezo, n.k.), nimefikia kikomo.