testimonial

n hati/barua ya sifa (ya kushuhudia kazi njema); zawadi ya kusifu/shukrani. testimony n 1 ushahidi; ushuhuda conflicting testimony ushahidi wa uwongo sworn testimony ushahidi wa kiapo bear testimony to something shuhudia. 2 kauli, tamko, maoni (rasmi).