test

vt jaribu, tahini; pima. the ~ n jaribio, mtihani; kipimo; upimaji. a ~-case n (leg) kesi ya kupimia kanuni; kipimo. ~ drive n uendeshaji wa majaribio (wa gari la kununuliwa). ~ pilot n rubani wa majaribio (ya ndege mpya). driving ~ n jaribio/mtihani wa udereva. put something to the ~ pima umadhubuti/thamani ya kitu. ~ match n mchezo wa kimataifa (wa kriketi au ragbi). ~ tube n neli ya majaribio. ~ tube baby n mtoto wa maabara: mtoto ambaye mimba yake ilitungiwa kwenye maabara.