territory

n 1 eneo/nchi (chini ya himaya moja). 2 eneo (la wilaya). 3 (US) wilaya (kabla ya kuwa jimbo). territorial adj -a nchi/taifa (fulani) territorial water maji ya taifa the Territorial Army (GB) jeshi la mgambo Territorial (US) -a wilaya ya Marekani n (mwana) mgambo.