terrace

n 1 mahali palipoinuka pa kutembelea au penye nyumba. 2 (on hill) mfululizo wa ngazi pana. 3 matuta ya mkingamo. 4 mlolongo wa majumba katika kitalu. vt 1 fanya matuta ya mkingamo. 2 chimba na kusawazisha. terraced adj.