terminate

vt (formal) koma, isha, vunjika; komesha, vunja, toa, haribu ~ a pregnancy toa mimba. termination n 1 kikomo, mwisho, uvunjaji. 2 (gram) silabi au herufi ya mwisho wa neno. terminable adj -nayoweza kusimamishwa/komeshwa/ achishwa the contract is terminable by both parties mkataba unaweza kusimamishwa/kufutwa na wote wanaohusika.