terminal

n 1 kituo cha mwisho; (cha reli, basi, n.k.) kituo maalum cha basi (kwa ajili ya abiria wa ndege, n.k.). 2 (of battery) kichwa/ncha za umeme/betri, temino adj 1 -a kipindi, -a muhula. 2 siyotibika/sikia dawa, -a kufa. terminally adv. terminus n kituo/stesheni ya mwisho (ya reli n.k.).