term

n 1 (period) muda, kipindi. 2 (word) neno; istilahi, mtajo. 3 (of school, etc) muhula. 4 (pl) (conditions) sharti. ~s implied masharti fahamivu. make ~s; come to ~s (with somebody) patana; kubaliana. come to ~s with something kubali. do something on one's own ~s/somebody else's ~s fanya jambo kwa kufuata matakwa yako/masharti ya mwingine. 5 (pl) uhusiano be on good/ friendly/ bad~s (with somebody) -wa na uhusiano mwema/mbaya; patana/ topatana na. on equal ~s kwa usawa, bila kubaguana, kwa kulingana. 6 (leg) wakati wa kazi wa mahakama. 7 (pl) jinsi/namna ya kueleza. in flatttering/ abusive ~s kwa kupaka mafuta/kutusi/matusi. a contradiction in ~s kauli inayojipinga. 8 (maths) sehemu, mafungu. vt taja, ita. terminology n istilahi. ~inolocal adj a ~inological inexactitude (hum) uongo.