tense

tense

1 n (gram) n njeo: kategoria ya kisarufi ambayo huwakilisha muda au wakati ambapo tendo hufanyika.

tense

2 adj 1 (lit or fig) -a kukakamaa,liovutwa sana, liokazwa, -a kudinda. 2 -enye fadhaa/wasiwasi. 3 (gram) kaze: enye kutumia nguvu nyingi za musuli katika kutamkwa, -a kuonyesha fadhaa their faces were ~with anxiety nyuso zao zilionyesha fadhaa. vi,vt kaza, shupaza; kakamaa. be/get ~d up jawa na wasiwasi. tensely adv. tenseness n fadhaa. tensile adj -a kutanuka; -a kunyosheka; -a mkazo. tension n 1 kunyosha; kutanuka; mkazo; (tech) mvuto. 2 (excitement) fadhaa, hangaiko, wasiwasi. 3 mgogoro ~ relations mvutano/mgogoro kati ya watu. 4 (elec) nguvu ya umeme. 5 fosi/nguvu za mtanuko wa gesi au mvuke. tensity n see tenseness.