tenant

n mpangaji ~ farmer mkulima wa mfumo wa nyarubanja; mpangaji ardhi ya kulima. vt (usu passive) panga. tenancy n 1 upangaji. 2 kipindi cha upangaji. life tenancy n upangaji wa maisha. tenantry n (collective sing) wapangaji wenzi (wa shamba/nyumba).