ten

n kumi. ~ to one kumi kwa moja; bila shaka; yumkini adj (sehemu) -a kumi. ~old adv mara kumi zaidi. tenthly adv. tenpence n (GB) sarafu ya thamani ya mapeni kumi. tenner n (colloq) (GB) pauni kumi; noti ya pauni kumi.