temperance

n 1 kiasi; kadiri; kujiweza, kujirudi. 2 kutokunywa kileo cha namna yoyote ~ society jumuiya isiyokunywa vileo/ulevi; jumuiya inayopigania kupigwa marufuku kwa vileo.