temper

n (disposition) tabia, moyo, hali, mwenendo good ~ upole, ukunjufu bad ~ hasira, harara, hamaki. get/fly into a ~ kasirika, hamaki, panda mori. keep one's ~ tulia, poa, jiweza; jizuia. lose one's ~ kasirika, hamaki. out of ~(with) liokasirikia. tempered adj. temperedly adv. vt,vi 1 (mitigate) tuliza, punguza ukali/nguvu n.k. ~ justice with mercy wa na huruma wakati wa kutoa adhabu. 2 (metal) tia matiko, chovya; (clay) kanda; finyanga.