tell

vt,vi 1 ~ something (to somebody); ~ somebody something ambia. I told you so nilikwambia. you are ~ing me! sawa/kweli kabisa, wacha Bwana; naafikiana nawe kabisa. ~ me another sikuamini, wacha Bwana. ~'the world (colloq) tangazia kila mtu. 2 (relate) sema, simulia. ~ the truth sema kweli. ~ a story simulia hadithi. ~ the tale n (colloq) toa hadithi ya kusikitisha (ili kuhurumiwa). ~ tales about/on somebody chongea, fitini. ~ tale n mfitini; kidomodomo, mmbeya. 3 (count) hesabu. all told kwa jumla. ~ one's beads vuta uradi/tasbihi. ~ somebody off (for something/to do something) pangia kazi; (colloq) simanga, karipia. 4 (discover) fahamu, jua, ng'amua, ona. ~ the time jua majira. you can never ~; you never can ~ huwezi kujua; ajuaye Mungu. there is no ~ing haijulikani, haiwezekani kutabiri. 5 (order) amuru, agiza do as you are told fanya kama ulivyoamriwa. 6 ~ (on/upon somebody) athiri. telling adj -a nguvu. 7 ~somebody/something (from somebody/something) baini tofautisha. 8 ~ (on somebody) (colloq) fichua, umbua, chongea.