telescope

n darubini. vt,vi ingiana (kama sehemu za mtutu wa darubini); fupisha. telescopic adj -a darubini, -a kutazama mbali; -a kuonekana kwa darubini; -enye sehemu za mtutu (kama darubini.