telephoto

n ~ lens n lenzi ya kuona mbali. telephotograph n picha iliyopigwa na lenzi ya aina hii; picha iliyotumwa au kupokelewa na lenzi ya mbali. telephotography n 1 telefotografia: kupiga picha mbali. 2 upelekaji na upokeaji wa picha za mbali.