telepathy

n telepathia: uwezo wa kupashana mawazo/fikra bila kutumia njia za hisia za kawaida (kusema, kusikia, kuona, kugusa, kunusa); (colloq) kuweza kubaini mara moja nia za wengine, uwezo wa kuwasoma wengine. telepathic adj. telepathis n mtaalamu/ mwanatelepathia.