teleology

n teleolojia: nadharia/mafundisho/imani/fikra kwamba viumbe vyote viliumbwa na Mungu kwa kusudi maalum. teleological adj. teleologist n.