telegraph

n telegrafu: njia ya kupeleka ujumbe kwa mawimbi ya umeme kwa waya au kwa upepo; simu ya upepo ~ post/pole n mti wa simu. ~ wire/line n waya wa simu. bush ~ n kupeleka ujumbe kwa moshi/sauti/ngoma. vt,vi peleka habari/ujumbe kwa telegrafu. ~ er n mtaalamu wa kupeleka na kupokea telegrafu. telegraphically adv. telegraphese n mtindo (wa lugha) wa ishara ya telegrafu. telegraphy n telegrafia: sayansi ya upelekaji na upokeaji simu (za upepo).