telecottage

n chumba au nyumba ndogo kijijini/mashambani kilichowekewa kompyuta na vyombo vya kisasa kwa matumizi ya pamoja ya wakazi.