teem

vt 1 wapo kwa wingi; jaa tele the fish ~ in the river samaki wamejaa tele mtoni. 2 ~ with jawa, jazana. ~ (down) (with) miminika, mwagika, nyesha sana.