tee

n 1 (golf) kichungu kidogo, kichungu; kitii (cha mpira wa gofu). 2 herufi T; kitu chenye umbo la T. T ~-shirt n fulana ya mikono. to a tee/T barabara, sawasawa, kamili. vt,vi ~ (the ball) up wekea mpira (wa gofu) kitii. ~ off anza.