technical

adj -a ufundi; -a kifundi, stadi ~ college n chuo cha ufundi. ~ terms n istilahi: maneno ya kiufundi the ~ skill of a pianist ustadi wa mpiga kinanda. technically adv. technics n njia za ufundi, mbinu, tekniki. technicality n neno/ kifungu/jambo la kifundi. technician n fundisanifu.