team

n 1 farasi/ng'ombe wanaokokota gari n.k. 2 timu. ~ work n kazi ya kikoa/pamoja. ~ spirit n moyo wa ushirikiano. vi ~ up (with somebody) (colloq) shirikiana na, ungana na. teamster n saisi; (US) dereva wa lori.