teach
vt vi 1 (knowledge) funda, funza, fundisha. 2 (manners) tia adabu, adibisha. 3 (generally) ongoza, lea, onya, zoeza. ~ somebody not to do something onya mtu asifanye jambo fulani. ~ in (colloq) n malumbano juu ya mada fulani. teachable adj elekevu, sikivu, -a kufundishika. teacher n mwalimu, mfundishaji. ~er's college n chuo cha ualimu. teaching n 1 kufundisha; ufundishaji. 2 mafundisho.