tea

n 1 chai. not my cup of ~ (fig) sio jambo ninalolipendelea. ~ bag n kifuko cha majani ya chai. ~ break n mapumziko ya chai. ~-caddy n kopo la majani ya chai. ~ chest n sanduku (la mbao) la kusafirishia (majani ya) chai. ~ cloth n kitambaa cha meza/trei ya chai; kitambaa cha kukaushia vyombo. ~ cup n kikombe cha chai. a storm in a ~ cup kelele za bure. ~ garden mkahawa wa (chai) wa bustanini; shamba la majani ya chai. ~ house mkahawa wa chai. ~-kettle n birika la chai, buli. tea-leaves n majani ya chai. tea-party n sherehe/tafrija ya chai. tearoom n mkahawa. ~ service/-set n vyombo vya chai. ~ spoon n kijiko cha chai. ~ spoonful n (ujazo wa) kijiko kimoja cha chai. ~-strainer n chujio la chai. tea-table n meza ya chai. ~ things n (colloq) vyombo, seti ya vifaa vya chai. ~-time n wakati wa chai, saa ya chai. ~ towel n taulo/kitambaa cha kufuatia/kukaushia vyombo. tea-tray n treya ya kuandikia chai. ~ urn n chombo cha kuchemsha maji ya chai. ~ trolley/wagon n toroli la kuandikia chai. 2 kipindi cha chai ya chajio. high ~ n chajio.