tax

n 1 kodi, ushuru. poll ~ n kodi ya kichwa. entertainment ~ kodi ya starehe. sales ~ n kodi ya mauzo. ~ payer n mlipa kodi. ~ collector n mtoza/mkusanyaji kodi/ushuru. ~ free adj -siolipiwa kodi; (of dividends or interest) liokwisha katwa kodi. 2 a ~ on mzigo a ~ on my strength mzigo kwangu. vt 1 toza kodi, lipisha ushuru. 2 (put strain on) elemea, kalifu; sumbua. ~ somebody with something shtaki, laumu. 3 (leg) chunguza na kutoa uamuzi (kuhusu gharama za daawa). taxable adj -a kutoza/ kutozwa kodi/ushuru. heavy ~ation n kutoza kodi/ushuru mwingi. indirect ~ation n kodi isiyo dhahiri.