task

n kazi (ya kufanya). take somebody to ~ (about/for something) kemea, karipia, laumu, shutumu. ~ force n kikosi maalum cha kijeshi; (fig) kikosi cha kazi. (hard) ~ -master/mistress n msimamizi (mkali). vt taabisha, chosha, kalifu.