tar

n lami, bereu. vt paka/weka lami. ~ and feather somebody adhibu mtu kwa kumpaka lami na kumpamba manyoya. ~red with the same brush -enye makosa yaleyale. tarmac n mchanganyiko wa lami na kokoto (kwa kusakafu barabara). tarry adj -a lami, -enye lami, kama lami.