taper

taper

1 n mshumaa mwembamba sana; ugwe/utambi wa mshumaa.

taper

2 vt vi chonga; chongoka nchani. tapering adj -a kuchongoka, -a kupunguka unene taratibu (mpaka kufanya ncha).