tape

n 1 utepe, ugwe; kamba. ~-measure n chenezo: kamba/utepe wa kupimia. ~ worm n tegu. 2 ~ (ticker) n karatasi nyembamba za mashine ya telegrafu. insulating ~ n tepu/gundi (ya kuunganisha nyaya za umeme). magnetic ~ n tepu ya kurekodi sauti. ~ deck/~ recorder n kinasasauti/ tepurekoda. 3 utepe (wa kumalizia mashindano ya mbio). vt 1 funga kwa ugwe/utepe. 2 rekodi (sauti) kwenye kinasasauti. 3 (colloq) have something/somebody ~d elewa kitu/mtu barabara.