tap

tap

1 n 1 kugonga; kipigo chepesi. ~ dance n dansi ya kugongagonga miguu chini. 2 (pl.) taps n (US armed forces) ishara ya kuzima taa usiku. vt,vi gonga, bisha; babata, ng'ota.

tap

2 n 1 bilula, bomba, mfereji. on ~ (of beer etc) kwenye pipa lenye bilula; (fig) tayari kwa mhitaji. taproom n (in an inn) chumba cha kuhifadhi mapipa ya bia. tapster n mwuza pombe, bia. ~ root n mzizi mkuu ~ water maji ya bomba/ mfereji. 2 kizibo. vt ~ (off) something (from something) 1 fungulia; fyonza; kinga; gema ~ coconut trees gema ~ information from a child pata habari kutoka kwa mtoto. 2 ingilia kati the phone is being ~ped simu inanaswa/ inaingiliwa/inasikilizwa na mtu baki. 3 wekea bilula/bomba/mfereji.