tank

n 1 birika, hodhi, tangi (kubwa la kuhifadhi vimiminiko, gesi n.k.) the petrol ~ tangi la petroli. ~-car n behewa/gari la kubebea petroli, n.k. 2 (in India and Pakistan) bwawa; (armoured car) kifaru. ~trap n kizuizi/mtego wa vifaru. vi ~ something up jaza petroli kwenye gari. be/get ~ ed up (sl) elewa. tanker n meli/ndege ya shehena ya mafuta; lori/gari ya kubebea mafuta/ maziwa/kibuku, n.k. tankard n bilauri, kombe kubwa la kunywea (agh bia).