tangent

n ~ line mstari unaogusa duara bila kulikata, mstari mguso at a~ kwenda upande. go (fly) off at a ~ (fig) ghairi kwa ghafula; geuza mawazo ghafla. ial adj -enye uhusiano mdogo na. ially adv.