tan

n hudhurungi ~ leather shoes viatu vya ngozi ya hudhurungi. vt,vi 1 (of an animal's skin) tengeneza/tia rangi ya hudhurungi (kwa asidi). ~ somebody's hide (sl) chapa (mtu) sawasawa. 2 geuka hudhurungi kwa jua. tanner n mtengeneza ngozi. tannery n tasnia ya ngozi.